1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanahabari aliegeukia sanaa ya vichekesho

22 Aprili 2022

Hakujua kama anatalanta ya kuchekesha, akiwa kwenye majukumu ya kazi wasikilizaji wake walikuwa wakivunjwa mbavu kutokana na aina ya uchekeshaji wake, hakuishia hapo wafanyakazi wenzie walikuwa hoi taabani kwa cheko hata kumshauri kutumia mitandao kuburudisha wengi zaidi,sasa ni mshindi wa tuzo ya sanaa ya vichekesho Tanzania

https://p.dw.com/p/4AI3L