Kipindi cha Maoni kinachoongozwa na Grace Kabogo, leo kinauangalia mustakabali wa siasa za Afrika Kusini baada ya chama tawala cha African National Congress, ANC kushinda katika uchaguzi mkuu wa Mei 8. Pamoja na ushawishi wa vyama vya upinzani wakati tunapoiangalia miaka 25 ya demokrasia.