SiasaMsumbiji: Ukuta wa Berlin ulipoangukaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaYusra Buwayhid06.11.20196 Novemba 2019Ukuta wa Berlin ulipoanguka mwaka 1989, wafanyakazi 20,000 wa Msumbiji waliokuwa waliokuwa wameajiriwa upande wa Ujerumani ya Mashariki ya Kikomunisti (GDR) walilazimika kurudi nyumbani. Hadi leo miaka 30 baadae bado wanadai malipo waliyoahidiwa.https://p.dw.com/p/3SdWLMatangazo