1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana Jasiri : Mwelimishaji Afya ya Watoto

9 Agosti 2024

Maria ni msichana anayewaelimisha wazazi jinsi ya kilinda afya za watoto wao dhidi ya maradhi ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza. Kuelimisha jamii si rahisi hasa kwa wazazi ambao wako maeneo ya vijijini lakini usaidizi anaoupata kutoka kwa rafiki zake ni sabu ya kukamilisha lengo lake kubwa la kuona mtoto akiwa na afya bora.

https://p.dw.com/p/4jIul