1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

TT Morris Mkurugenzi wa Katty collection ang'ara

30 Desemba 2021

Titty Morris mmiliki wa Katty Collection ni mshindi wa Tuzo hiyo ya 361 Degrees Designer of the Year 2021 inayoandaliwa na kutolewa na Jukwaa la Swahili Fashion Week nchini Tanzania na mwaka huu ilikuwa ni tuzo ya 14 kutolewa tangu ilipoanzishwa.

https://p.dw.com/p/44zph