Serikali ya Tanzania imesema iko tayari kupanua wigo wa Mkongo wa Mawasilaino hadi katika ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupitia eneo la Ziwa Tanganyika. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la siku mbili la kibiashara lililofanyika mjini Lubumbashi. Msikilize msemanji wa wizara ya habari na teknolojia Innocent Mungi.