SiasaMikakati ya CDU na CSU kujijenga upya baada ya kushindwaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaHarrison Mwilima13.10.202113 Oktoba 2021Katika Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii tunaangazia muungano wa kihafidhina nchini Ujerumani CDU na CSU na jinsi unavyoweka mikakati ya kujikwamua na kujijenga upya baada ya kushindwa vibaya katika uchaguzi uliopita mwezi Septemba.https://p.dw.com/p/41buMMatangazo