1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kipi cha kujivunia?

12 Januari 2024

Zanzibar imeadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya mwaka 1964, yaliouondoa madarakani utawala wa Kisultana ambao ulihodhiwa na Waarabu wachache na kuwaweka madarakani viongozi wa Kiafrika. Saumu Mwasimba anazungumza na Salim Said Salimu kuhusu yaliojiri kwenye sherehe za kumbukumbu ya miaka 60.

https://p.dw.com/p/4bAMd