1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbunifu wa vifaa saidizi kwa walemavu jijini Dodoma

14 Mei 2021

Kombo Jumbe, mkaazi wa Dodoma ambaye mwenyewe ana ulemavu wa miguu, ameamua kubuni vifaa ambavyo vinamuwezesha mtu kama yeye kuendesha gari bila shida yoyote

https://p.dw.com/p/3tPgd