Mazungumzo ya amani Burundi yarejesha matumainiElizabeth Shoo24.05.201624 Mei 2016Wajumbe waliohudhuria mazungumzo ya awali ya kuleta amani yaliyofanyika Arusha wana imani kuwa wataweza kuutatua mgogoro wa Burundi ambao umekuwa ukiendelea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.https://p.dw.com/p/1ItgqPicha: DW/C. NgerezaMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio