SiasaKimataifaMatangazo ya jioni.18.08.2024To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaKimataifaSuleman Mwiru18.08.202418 Agosti 2024Ukraine yaharibu daraja lingine muhimu kwenye Mkoa wa Kursk nchini Urusi, Raia wa Venezuela mjini Caracas na duniani kote waandamana kutetea ushindi wa upinzani,Takriban watu 11 wauawa katika shambulizi la kigaidi Mogadishu. https://p.dw.com/p/4jbQjMatangazo