Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wazungumza kwa njia ya simu, chama cha Social Democratic SPD nchini chaidhinisha kwa idadi kubwa makubaliano ya kuundwa kwa serikali mpya ya muungano na chama cha wataalamu wa Sudan kinachounga mkono demokrasia nchini humo, chalaani matamshi ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres