1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashindano ya Olimpiki yakumbwa na mkwamo mto Seine

Josephat Charo
29 Julai 2024

Mashindano ya Olimpiki yaendelea mjini Paris Ufaransa, huku mazoezi ya mashindano ya kuogelea ya Triathlon yakifutwa kwa siku ya pili kutokana na ubora wa maji ya mto Seine. Timu ya soka ya wanawake ya Canada yafuzu kwa hatua ya robo fainali.

https://p.dw.com/p/4isVg
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild I Kinderarbeit in Honduras
Picha: Rafael Ochoa/Photoshot/picture alliance Picha: Rafael Ochoa/Photoshot/picture alliance

Michezo