Wimbi jipya la mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni Afrika Kusini lililoanza mwanzoni mwa mwezi Septemba limeshashuhudia watu kadhaa kuwawa, maduka na biashara zikiteketezwa na kuibiwa, pamoja na mamia kujeruhiwa. Je, tatizo hasa lipo wapi? Na kipi kifanyike kuyakomesha haya? Mohammed Khelef anayajibu yote hayo katika kipindi cha maoni