Ni kwa miaka mingi sasa wanaharakati wa mazingira Tanzania wako mstari wa mbele kupinga mifuko ya plastiki, kampeni iliyoibua sintofahamu kwa wafanyabiashara wengi. Tangu Juni 1, 2019 ilikuwa ni kosa kutengeneza, kuagiza, kusambaza na kutumia mifuko ya plastiki. Je sheria hii imeleta ufanisi kwa kiasi? Sikiliza Mtu na Mazingira na Alex Mchomvu.