Miaka miwili iliopita janga la asili la kulipuka kwa volkano huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limewaacha mamia ya wakaazi katika hali mbaya. Leo hii Rashidi Chilumba katika Kinagaubaga anahoji, je! manusura wa mkasa huo wamesahaulika? Sikiliza mahojiano.