1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Makumbusho ya Iringa Boma, uhifadhi wa kumbukumbu

Veronica Natalis/MMT23 Septemba 2021

Msitu wa Nyumba Nitu uliopo mkoa wa Njombe kusini mwa Tanzania, unatajwa kuwa miongoni mwa vivutio vinavyotunza kumbukumbu za kihistoria katika maeneo ya nyanda za juu kusini mwa Tanzanzia. Katika makala hii ya utamaduni na sanaa, utasikia juhudi za kuhifadhi kumbukumbu za masimlizi hayo, kupitia makumbusho ya Iringa Boma yaliyopo katika mkoa wa Iringa. Msimulizi ni Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/40gsg