Makamu wa Kwanza wa Rais, ambae pia ni mwenyekiti wa taifa wa chama kinachounda serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ametangaza rasmi ataomba ridhaa ya Chama chake kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Katika safu ya Kinagaubaga, Sudi Mnette amefanikiwa kumpata kiongozi huyo, sikiliza mazungumzo hayo.