Kwa mara nyingine tena Wakristo kote ulimwenguni wanasherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa mwokozi Yesu Kristo. Sikiliza mahubiri ya sikukuu ya Krismasi yanayoletwa kwako na Watumishi wa Mungu Beatrice na Colle wa Huduma ya Anointed Room kutoka nchini Tanzania.