Wakati Israel ikishikilia msimamo wake kuwa muda wowote kutoka sasa itajibu mashambulizi ya kulipiza kisasi yaliyofanywa na Iran dhidi yake, Iran nayo inatishia kwamba endapo Israel ikithubutu kuishambulia tena, basi itajibu kwa mashambulizi makubwa zaidi. Mchambuzi wa Mashariki ya Kati, Abdul Fattah Mussa, anafafanuwa kinachoweza kutokea.