1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko yawaacha wakaazi wa Kigoma taabani

6 Februari 2024

Kutokana na mvua zinazoendela kunyesha mkoani Kigoma watu zaidi ya 200 kutoka kaya 60 wamelazimika kuwa wakimbizi katika mji huo baada ya nyumba zao kujaa maji hivyo kuhatarisha usalama wao. #Kurunzi inaangazia hali ilivyo Kigoma Tanzania.

https://p.dw.com/p/4c6l9