1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko yasababisha madhara ikiwemo vifo barani Ulaya

16 Septemba 2024

Vifo vimeripotiwa katika nchi mbali mbali za Ulaya ya Kati kufuatia mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa katika sehemu mbali mbali za Austria,Poland na Jamhuri ya Czech,huku mvua zaidi zikitarajiwa kunyesha.

https://p.dw.com/p/4kgqZ