1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Machester city ipo kikaangoni tena!

16 Septemba 2024

Manchester City yapambana kuepuka uwezekano wa kuondolewa kushiriki Ligi Kuu ya Premia kwa kukiuka sheria za matumizi ya fedha. City inakabiliwa na makosa 115, 80 ni ya kuvunja sheria hiyo ya FFP kati ya mwaka 2009 na 2018, huku mengine 35 yakihusisha kushindwa kutoa ushirikiano katika uchunguzi dhidi yao.

https://p.dw.com/p/4kggb