SiasaMabadiliko ya uongozi kwenye Jumuiya ya kijeshi ya NATO To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaZainab Aziz25.06.202425 Juni 2024Kwa mujibu wa taarifa, Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte, anatarajiwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa jumuiya ya kujihami ya NATO baada ya mpinzani wake rais wa Romania Klaus lohannis, kujoindoa kwenye kinyangànyiro. Mtayarishaji Zainab Azizhttps://p.dw.com/p/4hTipMatangazo