LUANDA: Ugonjwa wa Polio wachomoza upya20.08.200520 Agosti 2005https://p.dw.com/p/CEjVMatangazo Angola imeomba msaada wa jumuiya ya kimataifa kupambana na ugonjwa wa polio.Kuna khofu kuwa ugonjwa huo wa kupooza ulioripuka upya huenda ukasambaa nje ya mipaka ya Angola,baada ya kuthibitishwa kwa kesi 7 za polio.