1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LUANDA: Angola,Ghana,Ivory Coast na Togo kuania Kombe la Dunia

9 Oktoba 2005
https://p.dw.com/p/CETX

Kwa mara ya mwanzo Angola,Ivory Coast,Ghana na Togo zimefaulu kuingia katika mashindano ya Kombe la Dunia la Kandanda.Ivory Coast katika kundi lake,iliweza kujipatia nafasi ya kugombea Kombe la Dunia,baada ya Cameroon katika dakika ya mwisho kwenda sare,moja kwa moja na Misri na hivyo Ivory Coast imechukua nafasi ya kwanza katika kundi la tatu.Togo nayo iliikandika Congo mabao matatu kwa mawili mjini Brazaville.