SiasaAmerika ya KaskaziniLipi funzo la mdahalo wa Trump na Biden?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaAmerika ya KaskaziniSudi Mnette30.09.202030 Septemba 2020Mdahalo wa kwanza wa moja kwa moja kwa njia ya televisheni baina ya wagombea wakuu wa urais wa Marekani, Donald Trump wa Republican na Joe Biden wa Democratic, ulifanyika Jumanne. Je, lipi funzo baada ya mdahalo huo mkali?https://p.dw.com/p/3jE82Matangazo