1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini watanzania wanapinga mkataba wa bandari?

Hawa Bihoga
26 Oktoba 2023

Tanzania na kampuni kubwa ya baharini ya Dubai DP World wametia saini mkataba ambao umezusha upinzani mkubwa miongoni mwa wananchi na wafuatiliaji wa mambo. Lakini kwanini watanzania bado wanaona kuna utata kwenye mkataba huo?

https://p.dw.com/p/4Y4Hn
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio