1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SafariAfrika

Kwanini vijana wanakimbilia vyuo vya kati Tanzania?

Veronica Natalis
25 Julai 2023

Huko Tanzania wimbi la vijana kumaliza kidato cha nne na kwenda chuoni moja kwa moja tofauti na zamani, ambao kila mmoja alitamani kuendelea na elimu ya sekondari katika ngazi ya kidato cha tano na sita.

https://p.dw.com/p/4UO4c