Msichana anaecheza masumbwi na mwenye matarajio ya kufika mbali zaidi katika mchezo huu licha ya jamii kuwa na mtazamo hasi juu yake lakini hii si sababu ya yeye kufikia malengo yake anatamani kuona wasichana wengine wakizitumia fursa za michezo kuwa ni fursa za ajira kwao licha ya kukaa na kusubiri ajira za ofisini tu.