1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na mbunifu wa ATM ya kutumia alama za vidole

24 Julai 2023

Nchini Tanzania kijana Mathew Jackson amebuni mashine ya kipekee ya kutoa fedha yaan ATM kwa kutumia alama za vidole. Anasema ni ubunifu wa kipekee na unaweza kuleta mapinduzi makubwa. Yakub Talib alimtembelea na kuzungumza naye.

https://p.dw.com/p/4UK4y