SiasaKurunzi Live: Maoni ya Wananchi juu ya MuunganoTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaVeronica Natalis23.04.202423 Aprili 2024Wakati Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukikaribia kutimiza miaka 60, Watanzania wamekuwa na maoni tofauti kuhusiana na muungano huo. Je wanahisi kama bado una umuhimu kwao ama la? Tizama video hii kwa mengi zaidi, kisha utupe maoni yako.https://p.dw.com/p/4f6DaMatangazo