1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kupunguzwa kwa tozo kuna maana gani?

Bruce Alakonya20 Septemba 2022

Serikali imesikia kilio cha Watanzania kwa kufuta na kupunguza kiwango cha tozo za miamala ya kieletroniki. Uamuzi huo umetangazwa leo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba bungeni. Amesema serikali imepunguza wigo wa tozo ili kuchochea matumizi ya miamala kwa ajili ya kupunguza fedha taslimu. Sikiliza mahojiano kati ya Bruce Amani na Dkt. Ponsian Ntui mchambuzi wa masuala ya uchumi.

https://p.dw.com/p/4H7Jb