1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kupanda na kushuka kwa taifa ndani ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika

Amina Aboubakar7 Desemba 2011

Ndani ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika, nchi hiyo ambayo kwa sasa ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesafiri kutoka ubepari, ujamaa na sasa mchanganyiko wa kushangaza wa uliberali, ubepari na ujamaa.

https://p.dw.com/p/13O69
Ramani ya Tanzania kama inavyoonekana sasa, ikijumuisha Tanganyika na Zanzibar.
Ramani ya Tanzania kama inavyoonekana sasa, ikijumuisha Tanganyika na Zanzibar.

Katika mahojiano haya, mchambuzi wa masuala ya jamii na siasa, Gwappo Mwakatobe, anazungumzia namna mjengeko wa kijamii na kisiasa ulivyopanda na kushuka ndani ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.

Mahojiano: Amina Aboubakar/Gwappo Mwakatobe

Mhariri: Othman Miraji