JamiiKiulizo: Je 'hotpot' ni chakula?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii08.04.20218 Aprili 2021Katika Kiulizo wiki hii, Masanja anatumia neno hotpot kuuliza swali. Bila shaka 'hotpot' huhusishwa na mlo. Lakini je hotpot yenyewe huliwa? Tazama video usikie majibu ya baadhi ya hawa wanadamu! https://p.dw.com/p/3rj8iMatangazo