1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UtamaduniTanzania

Kiswahili lugha inayoliunganisha bara la Afrika

7 Julai 2023

Kila Julai 7 ni siku ya lugha adhim ya Kiswahili duniani. Umoja wa Afrika nao uliipitisha kuwa lugha rasmi, lakini kuifanya kuwa lugha inayozungumzwa kote barani Afrika kunakabiliwa na vikwazo chungumzima. Tazama video.

https://p.dw.com/p/4TZ2m