Katika burudani la Karibuni mabendi ya Taarabu nchini Tanzania yanyooshewa kidole cha kuwadhulumu wasanii wao.Mossy Suleiman aitaja Bendi kongwe ya East African Melody kuwa bendi inayodhulumu sana wasanii licha ya kuipenda bendi hiyo asema hawezi kuthubutu kuimba tena maishani mwake na bendi hiyo iliyojizolea sifa katika ulimwengu wa Taarab. Ungana na Saumu Mwasimba katika makala ya Karibuni