Kenya inapanga kuwa na kinu cha Nyuklia ifikapo mwaka 2030.Tayari sauti za upinzani zimeanza kusikika huku wanamazingira wakionya kuhusu hatari ya mpango huo. Hata hivyo taswira ni kinyume Afrika Kusini, Kinu cha nishati ya nyuklia cha Koeberg kimeongezewa muda wa miaka mingine 20 kuhudumu. Je, Kenya inastahili kujifunza yapi inapoelekea safari hiyo. Isikilize makala ya Shisia Wasilwa.