1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Mchengerwa azungumza juu ya mdundo wa kitaifa

Sudi Mnette16 Septemba 2022

Katika Makala ya Kinagaubaga, Sudi Mnette amezungumza na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na utamaduni wa Tanzania Mohamed Mchengerwa kuhusu jitihada za serikali kufanikisha upatikanaji wa mdundo wa kitaifa.

https://p.dw.com/p/4GzVM