1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Maxence Melo na uhuru wa habari Tanzania

Sudi Mnette22 Juni 2022

Katika Kinagaubaga Sudi Mnette anazungumza na Maxence Melo, mkurugenzi wa mtandao maarufu wa kijamii wa Jamii Forums nchini Tanzania. Suala kubwa ni hali ya Uhuru wa Habari nchini humo hivi sasa. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/4D4by