1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya kuondoa mimea vamizi katika hifadhi ya wanyama pori ya Ngorongoro,Tanzania

31 Mei 2021

Tanzania ni moja ya nchi tajiri za Afrika Mashariki kwa wingi wa wanyama pori, lakini sifa hiyo iko hatarini kutoweka kutokana na mbuga ya wanyama pori kuvamiwa na mimea vamizi ambayo inahatarisha maisha ya wanyama wake.

https://p.dw.com/p/3uDvI