1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya kumhudumia Mtoto Njiti Tanzania

1 Novemba 2021

Ungana na Deo Makomba katika makala ya Afya Yako, ambapo anaangazia juhudi mbalimbali za kumuwezesha mzazi aliyejifungua mtoto kabla ya wakati kupata muda wa kutosha ili kuweza kumlea mtoto aliye njiti.

https://p.dw.com/p/42IIQ