1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kamala na Trump uso kwa uso mbele ya Wamarekani

Hawa Bihoga | Rashid Chilumba
11 Septemba 2024

Mgombea wa urais nchini Marekani wa chama cha Democratic Kamala Harris na mshindani wake wa Republican Donald Trump wamepambana kwenye mdahalo wa televisheni wakijibu maswali ambayo Wamarekani walitaka kusikia.

https://p.dw.com/p/4kVci