Jose Manuel Barroso ni mwanasiasa wa Ureno. Alikuwa rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kwa miaka kumi kuanzia 2002.