Machafuko yanayochochewa na chuki dhidi ya wageni yamesababisha maafa nchini Afrika Kusini ikiwemo vifo vya watu pamoja na uporaji na uharibifu wa mali ndani na nje ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika. Lakini le ni mambo gani yamechangia hali hiyo? Baadhi ya raia wanazungumzuia hilo kwenye vidio hii.