1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Janga la homa ya nyani mkoa wa Kivu Kusini

29 Agosti 2024

Tangu ulipozuka wiki za karibuni nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, ugonjwa wa homa ya nyani (mpox) unaendelea kusambaa kwa kasi. Mkoa wa Kivu Kusini ni miongoni mwa ile inayoshuhudia visa vingi vya maambukizo. Ruth Alonga alitembelea moja ya vituo vinavyowahudumia waathirika na kuona juhudi za kujaribu kupambana na kudhibiti mpox.

https://p.dw.com/p/4k4BF