Madhehebu ya kikristo leo wameadhimisha siku ya Ijumaa kuu ambayo ni kumbukumbu ya kifo cha Yesu Kristo kabla ya kufufuka siku ya Jumapili ambayo ndio sikukuu ya Pasaka. Kulingana na maandiko Matakatifu ya Biblia, miaka zaidi ya 2000 iloyopita, Yesu alisubuliwa katika milima wa Golgotha nje kidogo ya mji Yelusalemu na akafufuka siku ya tatu baada ya kufa.