1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hoja ya lugha mbadala Afrika

4 Oktoba 2018

Katika siku za hivi karibuni, kumetolewa miito kutoka kwa wanasiasa na wasomi, wa Waafrika kuitumia moja kati ya lugha za Kiafrika ambayo inaweza kuleta upinzani kwa lugha za kikoloni kama Kiingereza na Kifaransa. Katika kipindi cha Vijana Mubashara 77% kwa juma hili tunakuuliza lugha ghani unafikiria inaweza kutuunganisha sote barani Afrika au tunazihitaji zote?

https://p.dw.com/p/35ykB