1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

GENEVA: Watu 10 wafariki katika ajali ya basi

17 Aprili 2005
https://p.dw.com/p/CFM8

Stesheni za redio nchini Uswissi zimeripoti kuwa hadi watu 10 wamefariki katika ajali ya basi iliyotokea asubuhi ya leo.Ripoti zasema basi hilo lililokuwa na kama abiria 30 lilianguka katika korongo sehemu za milimani.