1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Flora Modesty - Mwanaharakati anayewasaidia watoto viziwi

17 Novemba 2023

Msichana Flora Modesty ameamua kutumia nguvu na ushawishi wake kuwapigania watoto viziwi nchini Tanzania ikiwemo kuboresha mazingira ya wao kujifunza. Anaitoa elimu ya lugha ya alama shuleni kwa wenye changamoto ya usikivu na wasio na tatizo hilo. Na huyo ndiye Msichana Jasiri wetu kwa wiki hii.

https://p.dw.com/p/4Z2JU